Maendeleo jimboni: Juhudi za Mbowe ni za waziwazi

Mkuu mbona huku simiyu ndani tuna mbunge wa ccm na hatuna barabara nzuri, au serikali inafanya maendeleo majimbo ya Chadema tu?
Duh sasa huo ndio udandiaji wa hali ya juu. Hiyo Badget ya kujenga hizo barabara kazitoa wapi, na hao contractor aliwapa tenda yeye. Nadhani hata huo upanuzi wa Barabara ya kutoka Arusha hadi Himo itakuwa ni juhudi zake hiyo mikoa miwili ni ngome ya chama chake.
 
Wachagga hawajitambui kabisa!!! Yaani Kahama, Kishapu, Mara nk wanapewa Mrabaha wa Dhahabu lakini Uchagani hawapewi gawio la Utalii Mlima Kilimanjaro!! ... Wachagga amkeni ...
 
Mkuu mbona huku simiyu ndani tuna mbunge wa ccm na hatuna barabara nzuri, au serikali inafanya maendeleo majimbo ya Chadema tu?
Wizara ya ujenzi na wizara nyingi muhimu, zina viongozi wengi wa kutoka hiyo mikoa ya Kilimanjaro na Arusha, mara nyingi huwa wanaipanga mipango kwa kupendelea kwao.

Hebu fuatilia toka enzi ya Mwalimu hadi Kikwete , utaona wizara nyeti walishikilia wao na usiangalie Mawaziri tuu, angalia watendaji kama PS, Engineers, Accountants.
 
Back
Top Bottom