alitaka mkafanye nini?
muulize sasa
mie nilikataa
Haya namsubiri hapa mwanangu
nimeshajipanga kuja kutoa mahari, mwambie baba yako kabisaa akae akijua ili hasijekupokea ya mtu mwingineaya baba
Wewe huoni kakimbia?
Nilikua niko na mama miss chagga kidogo tunaongea
muulize sasa
mie nilikataa
nimeshajipanga kuja kutoa mahari, mwambie baba yako kabisaa akae akijua ili hasijekupokea ya mtu mwingine
kashasikia ila sasa uwahi
Na Wewe Siku ingine usimtetee sn baba yako utafiti huku mitaani tunamfahamu vzr sn Huyo na ana majina mengi sn kutokana na sifa yake ya ubazazi!
Nilikua niko na mama miss chagga kidogo tunaongea
Mwanangu hawa wanataka mimi na honey wangu tugombane tu
Kweli Wewe tabia iko damuni! Umerudi!!!!!!!!????