sijui yupo wapi? nadhani atakuja
Haya namsubiri hapa mwanangu
Haya namsubiri hapa mwanangu
aya baba
Pole Dr.......next time itabidi tuifue sana timu yetu......hasa kwenye figure skating.........ya Korea nitashiriki......
nimefika..kaanza wiki na kamba ivo
hii wiki itaishaje sasa?
nimefika..kaanza wiki na kamba ivo
hii wiki itaishaje sasa?
Anamdanganya miss chagga eti Yeye hapendi michepuko nawakati juzi alikua anakuomba anuania ya nini vile? Na akasema Yeye anakwenda kigamboni!
Anamfahamu baba yko utafiti
Anamdanganya miss chagga eti Yeye hapendi michepuko nawakati juzi alikua anakuomba anuania ya nini vile? Na akasema Yeye anakwenda kigamboni!
mwallu jibu hapa, Ntuzu anasema katukuta kigamboni, lini???Anamdanganya miss chagga eti Yeye hapendi michepuko nawakati juzi alikua anakuomba anuania ya nini vile? Na akasema Yeye anakwenda kigamboni!
amesahau
anamuongopea mwanae
alafu wewe ni mchonganishi mpka ukamwita loh
ameacha lini ubazazi?