Maembe BOLIBO..Page 2

Wewe peleka tu Hiyo Mahali yako Na michango yenu ya arusi Huyo baba yako utafiti aende kigamboni kutesa! Si Unajua huku kuna wanafunzi Wengi Wa vyuo huku! Haishi kuja huku!

naomba ufute urafiki na baba yangu kuanzia leo wewe siyo rafiki wa baba yangu....baba utafiti unakubaliana na uamuzi wangu? huyu rafiki yako anakuja kutoa siri kwa mtoto si mzuri baba
 
Wewe peleka tu Hiyo Mahali yako Na michango yenu ya arusi Huyo baba yako utafiti aende kigamboni kutesa! Si Unajua huku kuna wanafunzi Wengi Wa vyuo huku! Haishi kuja huku!

aisee kimenuka, nimepigwa chini, uuuuwiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…