KIJICHO PEVU
Member
- May 4, 2024
- 69
- 49
MAELFU YA GENERATION SAMIA WAMHAKIKISHIA SAMIA KIMBUNGA CHA USHINDI
View attachment 3436823
Mandhari ya Dodoma leo yamewaka moto wa shangwe na hamasa baada ya maelfu ya vijana wa Generation Samia kujitokeza kumsindikiza Rais Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa muhula wa 2025β2030, katika ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi.
Viongozi wa mtandao huo wamesema kuwa msimamo wao wa kumuunga mkono Rais Samia unatokana na mafanikio makubwa aliyopata katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayogusa maisha ya wananchi moja kwa moja, hususan vijana.
Wametaja miradi hiyo kama chachu ya ajira, msingi wa kukuza ubunifu na mhimili wa kuboresha huduma muhimu za kijamii.
View attachment 3436822View attachment 3436825
Akishindana na nani? πMAELFU YA GENERATION SAMIA WAMHAKIKISHIA SAMIA KIMBUNGA CHA USHINDI
View attachment 3436823
Mandhari ya Dodoma leo yamewaka moto wa shangwe na hamasa baada ya maelfu ya vijana wa Generation Samia kujitokeza kumsindikiza Rais Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa muhula wa 2025β2030, katika ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi.
Viongozi wa mtandao huo wamesema kuwa msimamo wao wa kumuunga mkono Rais Samia unatokana na mafanikio makubwa aliyopata katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayogusa maisha ya wananchi moja kwa moja, hususan vijana.
Wametaja miradi hiyo kama chachu ya ajira, msingi wa kukuza ubunifu na mhimili wa kuboresha huduma muhimu za kijamii.
View attachment 3436822View attachment 3436825
Anashindana na Nani kwani.?MAELFU YA GENERATION SAMIA WAMHAKIKISHIA SAMIA KIMBUNGA CHA USHINDI
View attachment 3436823
Mandhari ya Dodoma leo yamewaka moto wa shangwe na hamasa baada ya maelfu ya vijana wa Generation Samia kujitokeza kumsindikiza Rais Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa muhula wa 2025β2030, katika ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi.
Viongozi wa mtandao huo wamesema kuwa msimamo wao wa kumuunga mkono Rais Samia unatokana na mafanikio makubwa aliyopata katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayogusa maisha ya wananchi moja kwa moja, hususan vijana.
Wametaja miradi hiyo kama chachu ya ajira, msingi wa kukuza ubunifu na mhimili wa kuboresha huduma muhimu za kijamii.
View attachment 3436822View attachment 3436825
Kwani Baba wa Taifa Mwalimu nyerere unakumbuka mshindani wake kwenye Sanduku la kura japo m1 tu.Akishindana na nani? π
Upepo......! au siyo