Maelekezo ni muhimu

Ni muhimu, lakini kama kijijini kwetu vitu kama hivyo wala havina nafasi!
 
hahahahah,ila kama havikuwa vimetumika vinginevyo basi wako sahihi tu, kuna mifuniko safi chakula hakipati uchafu, hahahahahahah
 
hahahahah,ila kama havikuwa vimetumika vinginevyo basi wako sahihi tu, kuna mifuniko safi chakula hakipati uchafu, hahahahahahah
Hahaha hao ndio mabontown wa Village aka wakishua
 
Muda si mrefu hapa kibaruani kwangu nimetembelewa na wateja wako watatu, katika kuongea wakaniambia wanatokea COMPUTER KOLOMIJE SACCOS, si nikaanza kucheka, wakaniuliza mbona umecheka?
Hahaha iπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…