ozadaxnowden
Member
- Sep 27, 2016
- 11
- 17
Habari,nahtaji kufaham namna ya kubadlisha course chuo cha udom kwa waliochaguliwa mwaka huu.Asanten
Mkuu kwan nursing na eduu zpo college moja?na mm nataka kubadili tusaidien ntatoka eduu kwenda nursing na point nnazo
Unataka kubadili kutoka wapi na kwenda wapi??Habari,nahtaji kufaham namna ya kubadlisha course chuo cha udom kwa waliochaguliwa mwaka huu.Asanten
Hiyo transfer ya college moja kwenda nyingine huwa inasumbua hasa kwenye kuhamisha mkopo maana ada ya nursing ni kubwa kuliko ya education utasota mwaka mzima kubadilisha mkopo kuuweka sawa...tena itanidi ufuatilie mwenyewe makao makuu ya bodi ya mkopo...lakini pia hiyo transfer itategemea kama kutakuwa na nafas huko unapoenda na unaweza kulipa direct cost mara mbili pia so ujipange kijana maana direct cost ya afya na coed ni tofautina mm nataka kubadili tusaidien ntatoka eduu kwenda nursing na point nnazo
Hiyo transfer ya college moja kwenda nyingine huwa inasumbua hasa kwenye kuhamisha mkopo maana ada ya nursing ni kubwa kuliko ya education utasota mwaka mzima kubadilisha mkopo kuuweka sawa...tena itanidi ufuatilie mwenyewe makao makuu ya bodi ya mkopo...lakini pia hiyo transfer itategemea kama kutakuwa na nafas huko unapoenda na unaweza kulipa direct cost mara mbili pia so ujipange kijana maana direct cost ya afya na coed ni tofauti
daaaah !hata mm nnazo zakutosha tu CCD pcbna mm nataka kubadili tusaidien ntatoka eduu kwenda nursing na point nnazo
Nazan umemuelewa vibaya hana nia ya kumkatisha tamaa mkuu bali anampa ukwel halisi yeye ndo anatakiwa kuamuaacha kumkatisha tamaa mwenzio, muache ajaribu wapo watu wengi tu walifanikiwa, kuhusu loan hapo itabid ajipange kuongez Pesa inayopungu huku akirajaribu fuatilia bodi
Kwenye ukweli tunaambiana kijana kwanini nimpe moyo 100% then akakute vitu tofauti...lazima umuweke mtu katika mazingira ambayo atachagua mwenyeweacha kumkatisha tamaa mwenzio, muache ajaribu wapo watu wengi tu walifanikiwa, kuhusu loan hapo itabid ajipange kuongez Pesa inayopungu huku akirajaribu fuatilia bodi
Transfer procedures UDOMHabari,nahtaji kufaham namna ya kubadlisha course chuo cha udom kwa waliochaguliwa mwaka huu.Asanten
tatizo sio wew kuwa na point hizo tatizo ni availability ya capacity na kukubaliwa hyo transfer hasa utawala mkuu sio rahisi kiivo unavodhani ni lazima ufungue moyo unywe maji mengi vinginevo unaweza ukafuatilia hyo transfer ad wenzio wanamaliza semesterdaaaah !hata mm nnazo zakutosha tu CCD pcb
duuuuuh!au nisiende kuripot kabisatatizo sio wew kuwa na point hizo tatizo ni availability ya capacity na kukubaliwa hyo transfer hasa utawala mkuu sio rahisi kiivo unavodhani ni lazima ufungue moyo unywe maji mengi vinginevo unaweza ukafuatilia hyo transfer ad wenzio wanamaliza semester