Maelekezo kuhusu Dodoma

Kaluluma

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
474
Reaction score
622
Habari zenu wakuu,naulizia sehemu ipi Dodoma naweza kupata nguo za mtumba nzuri kama ilivyo kwa Daresalaam maeneo ya Ilala sokoni,
Nikimaanisha sehemu ambayo watu wanafungua marobota ya nguo na kuuza kwa mojamoja au kwa jumla.Kama itapendeza mnipe na muda sahihi wa kwenda pale.Kwa Dar nilikuwa nikienda asubuhi kama saa 12:30 hv.
Natanguliza shukrani🙏🙏
 
Nenda sabasaba kuanzia sa 2 asubh wanauza za kurusha kam Ilala mpk Sa 6 mchana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…