good ideaWadau nauliza kama kuna yeyote anayefahamu mahali ninapoweza kuacha gari kuanzia asubuhi hadi jioni (kwa malipo) pale maeneo ya Mbezi mwisho. Maana foleni sasa imekuwa balaa hapa mjini. Ni bora mtu ukitoka home uache mkoko wako mahali Fulani then ukija jioni unaupitia maisha yanaendelea.
Ushauri mzuri maana kama mtu anauliza mahali pakupaki tena Mbezi mwisho si bora aliache kwake unless kama anakaa Chalinze anafanya kazi Dar hivyo akifika Mbezi analiachaSi uliache kwako ama uuze kama wese ni ishu?
karucee hiyo hoja yako haina mashiko, toa hoja zenye mashioko, muda unaotumia ukiwa na public transport unafika haraka kuliko private unless upite vichochoro
Wadau nauliza kama kuna yeyote anayefahamu mahali ninapoweza kuacha gari kuanzia asubuhi hadi jioni (kwa malipo) pale maeneo ya Mbezi mwisho. Maana foleni sasa imekuwa balaa hapa mjini. Ni bora mtu ukitoka home uache mkoko wako mahali Fulani then ukija jioni unaupitia maisha yanaendelea.
Mkuu nashukuru kwa ushauri mzuri.yah kuna sehemu ya usalama pale kimara mwisho, kuna gereji na pia kuna jamaa anaziba pancha, ukiongea nae first day unaweza mpoza kidogo sema yeye anataka uwe unaosha gari kwake pamoja na huduma za upepo then baada ya hapo we liache gali lako hata lilale utalikuta kwani mwenyewe hulala hapo hapo na pia vibaka wote wanamjua hawasogei