Madumu meupe yanapatikana wapi?

Madumu meupe yanapatikana wapi?

Rama ngwea

New Member
Joined
Aug 9, 2020
Posts
2
Reaction score
1
Jaman nlikua naomba mnijuze bei ya madumu meupe ya lita thelathini na yanapatikana wapi
 
Hukimbizwi tulie eleza uko mkoa gani, unataka madumu ya muundo gani,ujazo upi kwa matumizi yapi kisha usubiri majibu maana kwa swali hili linaloelea angani upatikanaji wa madumu yenyewe yapo mataifa mbali mbali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom