Jitindejangongwa
Member
- Jan 17, 2013
- 28
- 3
kwa wanawake wote ambao mna ndoto ya kuwa na famila bora zingatieni hili. wasukuma wamejaaliwa
1-warefu
2-maumbo makubwa
3-mvuto
4-wakarimu
5-wapore
6-wametulia
7-wanajua kupenda
8-wachapakazi
9-sio wagomvi kama wakurya
10-hawana tamaa kama wachaga
11-hawajazubaa kama waha
12-na vyombo wanavyo!
13- IQ ishawarejea sio kama zamani
unasubiri nini sasa we mwanamama unayehitaji kuwa miongoni mwa watu wenye uzao bora?
nicheki kwenye facebook kwa id ya jitindejangongwa kwa msaada zaidi
Ya ni kweli mkuu Madume ya ng'ombe ya usukumani ni tofauti sana na sehemu zingine, huwa yanajitahidi sana hata kwenye kilimo aisee. Madume ya Ng'ombe wa sehemu zingine ni lege lege kabisa!
Hizi kampeni za wasukuma jamani......sijui niwekee uzoefu wangu juu ya hao.
domo la bata.Na wengi wao wana MIKONO YA SWETA which is not hygenic!