Maduka ya lens Dar

Maduka ya lens Dar

sijui nini

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Posts
2,553
Reaction score
1,293
Natafuta lens za saiz mbalimbali kwa dar naweza pata maeneo gani?
 
Lens zipi Mkuu fafanua kidogo za miwani ya macho,darubini,camera au unazungumzia aina ipi maana zipo nyingi
 
za kuweka machoni itakuwa ndio anatafuta
Hizo CL sio nzuri kama ni kwa ajili ya cosmetic purposes ila kama inatumika kama medical devices ni bora aende kwa specialist wa macho ndio amsaidie

Mazingira yetu ya Afrika vumbi jingi nk sio rafiki kwa matumizi ya Contact lenses
 
ushaur kaupata sana kaka
 
Sio kwa ajili ya urembo. Nataka za kama kwenye telescope au camera hivi.. Zile za round.. Ziwe mbinuko au mbonyeo..
 
Nipo madukani mda huu mwenye kujua atakuwa amenisaidia sana..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom