Maduka Musoma Mjini yateketea kwa moto

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,487
Maduka kadhaa yameteketea kwa moto usiku huu katika Soko la mjini Musoma, juhudi za askari wa zimamoto kuuzima moto huo



13669737_918491334964428_5019517269289030862_n (1).jpg
13615306_918491368297758_1485469104316579262_n.jpg
 
Dah poleni wafanyabiashara huko Musoma, hasara hii na bahati mbaya biashara zetu nyingi hazina Insurance
 
Maduka kadhaa yameteketea kwa moto usiku huu katika Soko la mjini Musoma, juhudi za askari wa zimamoto kuuzima moto huo zinaendelea.
 
Back
Top Bottom