:whoo:Hivi TANESCO wanapataje hasara? nguzo tunanunua, nyaya tunanunua service charge tunalipa,hata shimo la kuweka nguzo uliyonunua unachimba,mita ya luku unanunua.Wao kukusany pesa tu wanaingia hasara?
mkuu we acha tu, ungesikiliza kipindi cha kipima joto jana ungelia. mimi nilitaka kupinga TV ngumi kwa hasira kwa yule bwana Anastaz Mbawala, mkurugenzi mtendaji, EWURE-electricity.:whoo:Hivi TANESCO wanapataje hasara? nguzo tunanunua, nyaya tunanunua service charge tunalipa,hata shimo la kuweka nguzo uliyonunua unachimba,mita ya luku unanunua.Wao kukusany pesa tu wanaingia hasara?
:whoo:Hivi TANESCO wanapataje hasara? nguzo tunanunua, nyaya tunanunua service charge tunalipa,hata shimo la kuweka nguzo uliyonunua unachimba,mita ya luku unanunua.Wao kukusany pesa tu wanaingia hasara?
MR Urassa, there is no country in the world and I repeat NO country that has no electricity losses, the only fact that we could argue here is % of losses, Uganda has 34% Kenya 25% TANESCO 24% these are both technical and non technical loses, log into www.eskom.co.za so u can check RSA losses, thanks Eng NsiandeInasikitisha kusikia eti 26% ya umeme unaozalishwa na tanesco unapotea,hao maofisa wao wanapata unit 750 kila mwezi,nguzo ambazo wanatuunganisha umeme wanatuuzia kumbe kiutaratibu iliwapasa kutoa bure kama sehemu ya huduma yao na mbaya zaidi hawataki kuwa wabunifu zaidi ya kung`ang`ania kupandisha bei,ubunifu wao upo wapi?
U r right bro eng Nsiandeni wakati wa kutoa elimu kwa umma juu ya njia mbadala ya nishati