Madudu ya Chuo Kikuu Makumira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madudu ya Chuo Kikuu Makumira

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by milioni, Feb 2, 2012.

 1. milioni

  milioni Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanafunzi Zaidi ya 400 waliomaliza stashahada ya Elimu mwaka 2011 hawajapangwa ktk vituo vya kazi na serikali kutokana na digrii inayotolewa hapa chuoni kutotambuliwa na TCU.
   
 2. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  hii ni hatari sana...
   
 3. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Uongo...
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha! Afu na viongozi wetu wanaendelea kuwa kimya tu? Afu wakati kinaendelea kuingiza wanafunzi wizara husika ilikuwa hailitambui hilo? Yafaa wawajibishwe wahusika japo ni ngum kwa serikali legelege
   
 5. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,633
  Trophy Points: 280
  Mkuu milioni ebu tueleze vizuri inakuwaje chuo kisitambuliwe na TCU ?.Mliingiaje ninavyojua Makumira ni chuo kikuu cha kwanza kinamilikiwa na KKKT.

   
 6. milioni

  milioni Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chuo kinatambulika ila wanachuo wamepewa BED na masomo mawili ya kufundishia wakati BED inatakiwa kuwa na somo moja la kufundishia.kama vp ingia kwenye web ya wizara hamna hata mwanachuo mmoja aliyepangwa kituo cha kazi.
   
 7. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kuna thread humu inasema ni wahitimu 6 tu toka makumira wamepata ajira sasa hawa imekuwaje shahada yao ikatambuliwa???otherwise ni uongo
   
 8. milioni

  milioni Member

  #8
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hamna hata mmoja aliyepangwa
   
 9. d

  dada jane JF-Expert Member

  #9
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Stress za njii hii. Miaka mingine mbona wamekuwa wanapata post imekuwaje mwaka huu?
   
 10. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #10
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mi siajelewa labda wachangiaji wakiendelea ntaelewa maana hiki kichwa changu saa nyingine!
   
 11. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #11
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  acha uwongo ww, watu nawajua mbona wemepangiwa vituo vya kazi na wamemaliza mwaka 2011, uzembe uliofanyika hapo chuoni kwenu ni wahusika hawajapeleka majina wizara ya elimu kwa ajili ya kupangiwa, na ndyo maana hata hawa ninao wajua ni wamepangiwa kwa sababu walioaaply wenyewe na siyo kusubiri chuo kitume. View attachment AJIRA MPYA YA WALIMU WA SEKONDARI - SHAHADA 2011-2012 Final.pdf angalia hyo aatchment na uone kama hakuna wamakumira.
   
 12. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #12
  Feb 2, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,053
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Tanzania siasa inatupeleka kubaya,mtu asome miaka 3 halafu hasitambulike kama graduate?so strange!
   
 13. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #13
  Feb 5, 2012
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mbona chuo kina jina kubwa kumbe haitambuliwi TCU maajabu ya Musa
   
Loading...