iliniumiza zana coz nilifunga safari kutoka mbeya halafu mambo yakawa hivyo.imenicost sana
Hawa jamaa wameniita usaili wa next week 27/04/2012 MUCcobs huko Moshi. Nimemaliza chuo 2011 na nina transcript ina maana sitaruhusiwa kufanya usahili kwa kutumia transcrit????? Msaada tafadhali.
hv wadau ebu nielekezen, kwanza chet cha digrii huwa kinaonyesha matokeo coz ninachojua mimi transcript ndo inaonyesha matokeo yako. plz naomba mnielekeze wadau
Kiongozi kama una transcript hata usitie maguu huko ni noma hawa jamaa hawajali umetoka wapi. Fuatilia cheti mkuu nimeshuhudia kwa macho yangu. Nenda navyeti vinne tu Cha kuzaliwa, O' level, A' level na cha chuo hawahitaji zaidi ya hivyo.
hv wadau ebu nielekezen, kwanza chet cha digrii huwa kinaonyesha matokeo coz ninachojua mimi transcript ndo inaonyesha matokeo yako. plz naomba mnielekeze wadau
Mkuu transcripts ndo inaonyesha matokeo ya masomo uliyokuwa unayasoma, cheti cha digrii kile kinaonyesha matokeo ya jumla(GPA).
Kama ukiitwa na hawa jamaa wa Sekretarieti ya ajira nenda navyo vyote maana trh 20 April nikienda ktk interview wakahitaji vyote.