ndio tatizo lakua na viongozi wazee,wanakosa ubunifu sometimes,wazungu wanaendanalo serengeti na sehemu zote za kitalii,nikimaanisha mbugani.wanafunzi wa mweka wanayatumia hayo magari kwa shughuli zao zote za utafiti.wajeshi wa jkt wanatumia malori tena yasiyo na viti kwa shughuli zao zakilasiku,sasa huyu mzee shirima anaweza kutupa sababu za msingi kwanini kalizuia hilo gari?au kuna utofauti kati ya wazungu na waswahili?au ni siasa,tujuzwe jamani.