Madonna:Nawapenda vijana wadogo

Madonna:Nawapenda vijana wadogo

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,477
Reaction score
21,025
Madonna:Nawapenda vijana wadogo
140708100219_madonna_512x288_reuters.jpg


Msanii wa nyimbo za Pop Madonna aliyesifika kwa wimbo wake 'material girl' na ambaye amekuwa na uhusiano wa kimapenzi na mchezaji densi Brahim Zaibat ambaye amempita kwa miaka 28 pamoja na Timor Steffens mwenye umri wa miaka 27, amesisitiza kuwa anavutiwa na vijana wadogo kwa kuwa hawezi kuanza uhusiano na wanaume wa umri wake ambao anasema wameoa na wana watoto

Alipoulizwa ni kwa nini yeye huwapenda vijana wadogo,aliliambia gazeti la New York Daily News,kwamba wanaume wengi wa umri wake wameowa na wana watoto.
''Huwezi kuanza nao uhusiano.Mimi hupendelea kupata uzoefu na kujaribu mambo mapya.Mimi ni mama wa watoto wanne.kwa hivyo ni lazima uwe na mawazo huru na uwe mtu anayependa kujaribu mambo mapya kwa wewe kuweza kuingiliana na maisha yangu'',alisema Madonna.
''Watu wenye umri mkubwa na ambao wana mwelelekeo fulani hawapendi mambo mapya ukilinganish na vijana wadogo'',aliongezea.
Wakati huohuo msanii huyo ambaye alikuwa ameolewa na Guy Ritchie mwenye umri wa miaka 46 na Sean Penn mwenye umri wa miaka 54 hivi majuzi alikiri kwamba atafunga ndoa nyengine iwapo atampata wa kumliwaza.

My take vijana wa MMU fursa hii ila jiandae tu usije ukawa unapigwa vibao kama mziwanda
 
Kwa kifupi hawa ambao mileage imesogea wapite kushoto tena fasta.
 
Huenda Madonna ana tizi lakufa mtu, na uzoefu, kazoea kubinuliwa ivi mara kabenjuliwa vilemara ch*ma mb*g*, mara mbw* kananihii basi ilimuradi ni patashika nanihii chanikaa sasa vijana wa zamani hawamudu hayo, sanasana kif*ch*men*e... vijana ni fursa nyingine hii.
 
Hakuna vijana wa macho ya nyoka wa makengeza humu ? Wacha waje na hoja
 
Anapenda mipini mipya na styles kama sakayonsa, kafie kwenu na mbwa kachoka duh hii khatari sana umri umeenda bado anauchu
 
me kila nikipita naona I mic u sijui I love u du hakika kazi ninayo
 
Back
Top Bottom