Madokta mpo wapi?

Kutokwa na ute mzito kwenye uume wakati wa haja kubwa je ni tatizo?
@Koromeo Hiyo inaitwa Madhii sio Tatizo ni kwa sababu hujafanya mapenzi siku nyingi. Kuna watu wengine huku wanatokwa kama wewe ila wakati wanapokuwa wanapokuwa wana kojoa inatoka hiyo inaitwa Madhii usiogope ni kawaida tu . Je wewe unaye mchumba ? au umeowa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…