Madogoli

Haya ni matunguli. Kuna ngoma inaitwa madogoli. Asante kwa kutuonesha malimwengu ya walimwengu.
 
...tunguli,madogori ngoma ya wachawi nahisi...
 
Haya ni matunguli. Kuna ngoma inaitwa madogoli. Asante kwa kutuonesha malimwengu ya walimwengu.

Ni kweli hizi ni zana za ngoma ya madogoli, kupunga pepo na kutoa wachawi
 
Ama kweli akili ni nyele na kila mtu anazo za kwake na kwa hii mi ni tafauti sana na ukianza na hii basi utakuwa umeshadumaa na hii kitu itakuwa hata kazi hufanyi ni kudeka kwa hao tuu
 
Mkuu MziziMkavu njoo huku, umesahau vitendea kazi vyako, mshana jr anavinyemelea.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…