Madiwani waigomea Sh500,000 ya suti

Fredwash

JF-Expert Member
Oct 27, 2009
1,276
1,790
Leo kwenye gazeti la wananchi sikuamin macho yangu niliposoma habar hii ya mwanasheria wa halmashauri kununuliwa suti ya lakin tano kila mwez, tena hilo linawekwa ndan ya bajet, ingawa nimefarijika kusikia madiwan wamegomea kupitisha hilo kwenye bajet, ingawa kinahonisikitisha ni mkurugenz wa halmashauri na hasa huyu mmbunge aliechaguliw na wanainchi wake wa mbeya vijijin akiwaomba madiwan walipitishe hilo kwenye bajet..

kweli magufuli ana kaz ikiwa huku kwenye nga a chini yako haya hv unategemea huko juu kutakaa sawa kama wabunge wenyewe wanashiriki kwenye haya.

Hii inchi hii hiv huyu mwanasheri hana mshahara na kwa nini anunuliwe sut kila mwez.. yaani mijitu isio na akil inakaa chin na kuliweka hil kabisa kwenye bajet, huu ni zaid ya unyumbu
 
Majipu mengine ya kijinga sana aisee kama huo Mbunge nasikia alitumia pesa nyingi sana kupota hapo na aana skendo za kuwanyanyasa na kudhurumu ardhi wananchi baati Mbeya kakutana na hao watu wa Mbeya ninavyojua walivyokuwa wabishi watamsumbua sana.
 
Leo kwenye gazeti la wananchi sikuamin macho yangu niliposoma habar hii ya mwanasheria wa halmashauri kununuliwa suti ya lakin tano kila mwez, tena hilo linawekwa ndan ya bajet, ingawa nimefarijika kusikia madiwan wamegomea kupitisha hilo kwenye bajet, ingawa kinahonisikitisha ni mkurugenz wa halmashauri na hasa huyu mmbunge aliechaguliw na wanainchi wake wa mbeya vijijin akiwaomba madiwan walipitishe hilo kwenye bajet..

kweli magufuli ana kaz ikiwa huku kwenye nga a chini yako haya hv unategemea huko juu kutakaa sawa kama wabunge wenyewe wanashiriki kwenye haya.

Hii inchi hii hiv huyu mwanasheri hana mshahara na kwa nini anunuliwe sut kila mwez.. yaani mijitu isio na akil inakaa chin na kuliweka hil kabisa kwenye bajet, huu ni zaid ya unyumbu
Kwa mwanasheria, suti ni vazi maalumu la mahali pake pa kazi (mfano mahakamani), sasa unaposema jinunulie kutoka katika mshahara wake ni sawa na kumwambia nesi au askari polisi ajinunulie yunifomu zile anazotakiwa kuvaa awapo kazini. Mwanasheria hawezi kuappear mbele ya mahakama akiwa hajavaa suti na tai na ni lazima.
 
Shemeji yangu ni nesi na juzi ametoka kichukua sare zake kwa fundi
 
Pelekeni upuuzi wenu huko yaani wa allocate 6M per year kugharamia ujinga kama huo..There is no such a thing..free lunch in economics given scarce resources needed to meet basic public goods
 
Back
Top Bottom