Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,665
- 239,162
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe , wameazimia KUMFUKUZA Mkurugenzi Mtendaji ( DED ) , Elias Nawera wakidai hawana imani na utendaji wake wa kazi .
Hayo yalibainishwa na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Mh Abraham Sambili katika kikao cha dharula , alidai kuwa Mkurugenzi huyo amekuwa kikwazo cha maendeleo , na kwamba watamuandikia barua mwajiri wake ili aondolewe .
Chanzo - Mwananchi .
Kwa faida ya wasomaji wa Jf , huyu Elias Nawera ndiye yule mwanaccm aliyefungua kesi Mahakamani kupinga uchaguzi wa Meya wa jiji la DSM , akitaka Madiwani wa viti maalum kutoka Mchambawima na Kisiwandui Zanzibar waruhusiwe kupiga kura .
Taarifa zaidi zinadokeza kwamba U - DED huo alipewa kama kifuta jasho kwa usumbufu alioisababishia UKAWA
Mytake , Mshahara wa dhambi ni Mauti .