Nicholaus Kilunga
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 1,188
- 570
Hao hawajanunuliwa bali wamejitambua
dodoma wengi wananchi uelewa mdogo pia na ukame wa mkoa huo wananchi wameathirika kiakili,ila mkuu usikonde uchafu wote uishe wabaki wasafi msiogope pigeni kazi
kila mara tuna sema, iliyokuwa chadema imejengwa kwa misingi ya kibaguzi na kilaghai.
Kwa hiyo unataka kuwaaminisha wanajf kuwa viongozi wa chadema wananunulika kwa maana nyingine, viongozi wa iliyokuwa chadema wanatumia jina chadema kama bargaining platform.
Chama chenye itikadi na sera zinazowaleta na kuwaunganisha wanachama na viongozi wenye malengo yatokanayo na sera na itikadi hakiwezi kutumika kama jukwaa la manunuzi ya wananchama na viongozi.
Haishangazi sana kwa sababu hata katiba ya chadema kwa sasa imechakachuliwa na baadhi ya waliokuwa viongozi wakuu ili waendelee kuwepo madarakani ambapo matokeo yake kwa sasa kukimbia vivuli vyao na kujificha kwenye kikundi kinachoitwa ukawa.
Kila mara tuna sema, iliyokuwa CHADEMA imejengwa kwa misingi ya kibaguzi na kilaghai. Kama baadhi ya wanachama au viongozi wanapogundua kuwa ndani ya CHADEMA kuna ubaguzi na ulaghai basi ni haki yao kuondoka kwa amani kama baadhi yao wanavyofanya kwa sasa. Vile vile ni haki yao kuwaeleza wananchi kuhusu ubaguzi na ulaghai unaoendelea ndani ya CHADEMA.
Kwa hiyo unataka kuwaaminisha wanaJf kuwa viongozi wa CHADEMA wananunulika kwa maana nyingine, viongozi wa iliyokuwa CHADEMA wanatumia jina CHADEMA kama bargaining platform.
Chama chenye Itikadi na Sera zinazowaleta na kuwaunganisha wanachama na viongozi wenye malengo yatokanayo na Sera na Itikadi hakiwezi kutumika kama jukwaa la manunuzi ya wananchama na viongozi.
Haishangazi sana kwa sababu hata katiba ya CHADEMA kwa sasa imechakachuliwa na baadhi ya waliokuwa viongozi wakuu ili waendelee kuwepo madarakani ambapo matokeo yake kwa sasa wameamua kukimbia vivuli vyao na kujificha kwenye kikundi kinachoitwa UKAWA.
Siumii juu ya msaliti kuhama,naamini hata nikibaki peke yangu mimi ndiye chadema wa kweli.
-hakika wanadodoma tumedhalilishwa kwa tukio kama hili chafu na ovu kwa ukombozi wa pili wenye maslahi ya umma kupitia chadema.
Ili kukata mzizi wa fitina weka ushahidi tuone walivyonunuliwa.
Kwa nini ukimbilie kusema wanunuliwa badala ya kusema kuwa wameshtuka kuwa misukule.
Sasa kama viongozi wenu wananunulika kirahisi hivi itakuwaje mkipewa nchi, si mtatuuza au?