Hawana jeuri hao wanafiki tu,,labda kama sio ccm iliyo zoeleka kwa utapeli na uhuni.madiwan wa ccm wilayan arumeru arusha wameapa kujiudhulu endapo rais hatalitolea majibu yasiyoridhisha kutokana na mgogoro wa muda mrefu wa shamba linalomilikiwa na vigogo wa ccm ndio maana serikali ya ccm haijigusi kulishughulikia suala hilo.