Wadau naomba kujua bei za madirisha ya aluminium ya size ya futi 5 kwa 5 na sita kwa sita with two and 3 shutters respectively. nahitaji kwa hapa Dar.
120,000/-tshs per sqm !
kama madirisha zipo juu ya 14, bei inaweza ku punguwa.
Kazi utawapa kampuni inayo uhakika, manake mitaani mafundi wapo kibao, lakini wezi tupu .
120,000/-tshs per sqm !
kama madirisha zipo juu ya 14, bei inaweza ku punguwa.
Kazi utawapa kampuni inayo uhakika, manake mitaani mafundi wapo kibao, lakini wezi tupu .