Based on colour.
Zipo nyeupe, ipo silver , kuna moja ipo kama reddish brown.
Kama sijakosea bei ya aluminium rangi nyeupe huwa juu kidogo ya rangi nyingine hizo.
Based on aluminium bar designing style.
Kuna bars za kawaida hizi za kawaida mostly zinatumika kwenye nyumba zetu hizi (bei ya hali ya mtu)
Kuna bars nene zile mostly utazikuta kwenye majengo ya taasisi kubwa mfano Magufuli library chuo kikuu cha mbeya pale. Bei yake ni ya kiserikali.
Based on window structure.
The more muonekano unakuwa complicated means cartainment inakuwa ngumu, material zinaenda nyingi na risk ya kuzikosea wakati wa kukata inakuwa kubwa. Pia fixing inakuwa tough so even bei inakuwa kubwa.
Pia size inaongeza bei.
METARMORHIC ARCHDESIGN, CONSULTANCY AND CONSTRUCTION LIMITED.
Karibu kwa huduma zifuatazo.
Kuchorewa ramani.
Kukadiriwa gharama za ujenzi.
Ushauri na usimamizi
Ujenzi wa miradi.
+255 757 302 075