Umeshawahi kuyasikia madini haya?!mimi ndo nimeyasikia leo, yanapatikana Mirerani pia!Yanatumika kutengenezea mabetri ya magari yasiyotumia nishati ya mafuta!!Dah! Hili li nchi lina kila kitu jamani!!Kweli umaskini wetu upo kichwani mwetu!

Hii nchi ingelikuwa ya waarabu ama wazungu uchumi wake ungelikuwa tishio kwa nchi zingine...lakini akina sisi fursa kama hizi hatujui kuzitumia...inasikitisha mno!