Kipande hiki cha barabara yapata 90km katika barabara kuu iendayo Burundi, Rwanda na DRC kimepigiwa kelele kwa muda mrefu.
Kwa sasa pana sehemu mbili Nyamalagala na Ngazi Saba njia haipitiki na hali inazidi kuwa mbaya zaidi. Misururu ya magari ni mirefu na hakuna natumaini ya ufumbuzi wowote.
Ajali katika maeneo haya ni jambo la kawaida. Ajali zote katika sehemu hizi ikiwa ni matokeo ya ubovu huu mkubwa wa barabara.
Kwa hakika barabara hii ni hatari kabisa kwa matumizi ya binadamu. Ni afadhali ingalifungwa tu likaeleweka kuwa haipo.
Wahusika wote katika wilaya za Biharamulo na Ngara bora wangeachia nyadhifa zao ilo kujisafisha kama hawana namna ya kufanya kuiachia hali kufikia hapa.
Vinginevyo hawa hawafai labda hata heri ya wale wa Rufiji waliotumbuliwa juzi.
Katika picha ni hali ya Barabara hii kama ilivyo leo:
NB: Picha zaidi zaja