Madhara yatokanayo na kupimwa afya kwa kutumia computer

GlorytoGod

Senior Member
Sep 8, 2012
158
50
Wanajamvi heshima kwenu,

naombeni kuuliza kuna madhara yoyote yatokanayo na kupima afya kwa kutumia computer inayoonyesha magonjwa yote mtu aliyonayo mwilini mwake?

Nisaidieni wandugu,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…