Madhara yatokanayo na kupimwa afya kwa kutumia computer | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madhara yatokanayo na kupimwa afya kwa kutumia computer

Discussion in 'JF Doctor' started by GlorytoGod, Oct 16, 2012.

 1. G

  GlorytoGod Senior Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 8, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wanajamvi heshima kwenu,

  naombeni kuuliza kuna madhara yoyote yatokanayo na kupima afya kwa kutumia computer inayoonyesha magonjwa yote mtu aliyonayo mwilini mwake?

  Nisaidieni wandugu,
   
Loading...