Madhara ya X-Ray

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,880
2,758
Somebody tell us madhara ya hiki kipimo. Ila nasikia kinaua seli mwilini na kupunguza muda wa kuishi. Nimefanya kipimo hiki several times na ningependa kujua nitarudishaje seli na afya yangu
 
Everybody has gone, even doctors. The only solution iz to assume remedies
 
kiwango cha mionzi inayotoka ktk vipimo vya eksrei (diagnostic x-ray imaging) ni salama na kinaweza kulingana au kuwa ni kidogo kuliko mionzi tunayoipata kutoka ktk mazingira,ardhi, jua, vyakula (background radiation) ambayo ni uranium, radium na thorium n.k, viwango vinategemea na jiografia ya mahali unapoishi, vyakula, usawa toka bahari na hata aina ya nyumba. Ukweli ni kuwa uko katika hatari ya kufa au kudhurika kutokana na ugonjwa unaochunguzwa kwa x-ray kuliko madhara ya mionzi yenyewe.
 
Bora umepunguza hofu za watu kiaina. Ila una maoni gani kuhusu x-ray, mkuu
 
Bora umepunguza hofu za watu kiaina. Ila una maoni gani kuhusu x-ray, mkuu

X-ray na mionzi mingine yaweza kusababisha mabadiliko kwenye seli ambayo yanaweza kuendea kusababisha 'cancer' - ila ni kweli kwamba uchunguzi wa x-ray mara chache hauna madhara; wanasema kuanzia mara 12 na kuendelea ndio kunaweza kuwa na madhara zaidi.
hata hivyo - uchunguzi wa x-ray kwa wanawake wajawazito una madhara kwa 'fetus' na haushauriwi unless ni lazima sana.
 
wanasema kuanzia mara 12 na kuendelea ndio kunaweza kuwa na madhara zaidi.
hata hivyo - uchunguzi wa x-ray kwa wanawake wajawazito una madhara kwa 'fetus' na haushauriwi unless ni lazima sana.

"Kuanzia mara 12", tusaidie source tafadhali, kuhusu x-ray kwa wajawazito, take this:-
  1. Most diagnostic X-rays do not expose the fetus to high enough levels of radiation to cause a problem.
  2. Fetal exposure over 10 rads (the unit of measurement for absorbed radiation) has been shown to increase the risks for learning disabilities and eye abnormalities, BUT you needn't worry as it's rare for a diagnostic X-ray to exceed 5 rads!
 
Bora umepunguza hofu za watu kiaina. Ila una maoni gani kuhusu x-ray, mkuu

Mziwanda, Mimi si mtaalamu wa Radiology, lakini maoni yangu ni kuwa, kama ni eksrei ya kipimo (diagnostic x-ray) tusiogope kwa kuwa the benefit outweighs the risk!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom