Madhara ya vidonge vya PEP

Madhara ya vidonge vya PEP

mzabhe

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
261
Reaction score
279
Majuz nmetembea na demu wangu ambaye nna muda cjakutana naye, sasa wakat wa kusex kwa bahat mbaya kondom ikapasuka nkamwambia tukapime akasema anawahi anasafiri nkamshawishi akakataa kabisa akasema anawahi kwenda Moro,, sasa mm nkawa na mashaka naye ikabidi niwasiliana na Dr kwenye hosp moja iv akasema kwa vile kakataa kuja kupima inabidi tukuanzishie PEP ili kama kuna maambukizi yoyote yasikupate,, nkasema ok wakanipima kwanza kama nina maambukizi nkawa nipo frsh, then nkapewa dawa hizo za PEP sema nlisahau kuuliza madhara yake. Naomben kujua madhara ya PEP coz majuz nmepewa sasa naona kama mwili unachange
 
Madhara yake yapo ya kawaida kujisikia kichefuchefu kuharisha kuchoka sana ukiona ishu tofauti na hapo lazima uwasiliane na daktari wako haraka maana zile dawa kama una shida kwenye figo na ini zinaweza leta effects tofauti tofauti
 
muulize dr aliekupa atakupa ufafanuz wa kutosha
 
Madhara yake yapo ya kawaida kujisikia kichefuchefu kuharisha kuchoka sana ukiona ishu tofauti na hapo lazima uwasiliane na daktari wako haraka maana zile dawa kama una shida kwenye figo na ini zinaweza leta effects tofauti tofauti
Asante sana mkuu ubarikiwe
 
Hii PEP zinatumiwa mda gani baada ya tendo and zinazuia nini exactly??naombeni ufafanuzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom