Eng Kahigwa
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 783
- 632
Ishu ya kupata watoto wa kike kwa hilo sina uhakika nalo na kwa ishu ya kufanya vibarua karibu na minara huwa haikudhuru kwa kiwango kikubwa kama cha yule anayeishi eneo hilo...hii ni kutokana, wewe hukai kwa kipindi kirefu ktk hilo eneo kama yule anayeishi hapo na kwa muda zaidi unapokuwa exposed katika hilo eneo ndivyo athari nazo zinaongezeka.Kwamaana hiyo wakina sie tunaofanya vibarua kwenye hii minara tupo hatarini zaidi?...nakunamtaalam mmoja aliwahi kuniambia hiyo mionzi inapelekea kupata watoto wa kike tu wakiume utawaonea kwa jirani
Ishu ya kupata watoto wa kike kwa hilo sina uhakika nalo na kwa ishu ya kufanya vibarua karibu na minara huwa haikudhuru kwa kiwango kikubwa kama cha yule anayeishi eneo hilo...hii ni kutokana, wewe hukai kwa kipindi kirefu ktk hilo eneo kama yule anayeishi hapo na kwa muda zaidi unapokuwa exposed katika hilo eneo ndivyo athari nazo zinaongezeka.
Kazi ya faiza hiiHata wewe rekebisha hapo pekundu, "lekebisha = rekebisha".
Poapoa.Nashukuru,nimepata Mwanga kwenye hili!!!!
Wadau,naomba msaada na ujuzi kidogo katika swala hili,Ni madhara yapi husababishwa na Minara ya simu kuwekwa katikati na karibu kabisa na Makazi ya watu!!!!???? Mnaofahamu msaada wenu ni Muhimu!!
Inategemea kwakweli, maana endapo kama kazi yako ni kupanda juu kwenye zile tx na rx basi ujue kazi unayo labda kama utakuwa unafanya kazi huku vifaa hivyo vimezimwa kwa muda.Nilikua namaanisha kwawale wakina sie tunao ihudumia minara hii ya sim
HahahahaHata wewe rekebisha hapo pekundu, "lekebisha = rekebisha".
Inategemea kwakweli, maana endapo kama kazi yako ni kupanda juu kwenye zile tx na rx basi ujue kazi unayo labda kama utakuwa unafanya kazi huku vifaa hivyo vimezimwa kwa muda.
Na kwa ishu kama ya wale wanaohudumia minara hususani kwa upande wa umeme, athari kwao ni za kawaida maana hufanya kazi kwa muda mfupi na pia hawapo exposed direct kwenye microwave radiation kuliko wanaopanda juu kwenye hivyo vifaa.
Kwamaana hiyo wakina sie tunaofanya vibarua kwenye hii minara tupo hatarini zaidi?...nakunamtaalam mmoja aliwahi kuniambia hiyo mionzi inapelekea kupata watoto wa kike tu wakiume utawaonea kwa jirani
Matokeo yake hayaji muda huohuo, huwa inakuathiri taratibu mpaka mwisho wa siku unakutana na hilo tatizo la brain tumor na hususani watoto wadogo ndio huathirika haraka zaidi ya watu wazima.Hapa kwetu ipo minara miwili airtel na voda, sisi tuko katikati ya minara,kama ina madhara basi tulishajifia japo bado tunapumua
Kwakiwango flani upo salama.Kama hivyo ndivyo basi minipo salama kwenye upande wa umeme
Lekebisha =rekebishalekebisha rafiki hapo pekundu ili ueleweke
aya we tupange tumionzi kutoka katka minara ya simu ni non-radioactive rays,yaan ni mionz isiyokua na uwezo wa kuleta madhara,value yake haifikii threshold value ya human body
Ninavyofahamu ni kwamba minara ya simu inatumia Radio wave, ambayo kitaalamu inasemekana ina frequency ndogo na wave length kubwa, kutokana na sifa hizo inakuwa haina uwezo mkubwa wa kupenya kwenye vitu mbalimbali ikiwemo mwili wa binadamu na hivyo uwezekano wa kupenya kwenye ngozi na kuathiri ni mdogo sana hivyo inapuuziwa kisayansi, ndiyo maana TCRA wanaruhusu ijengwe kwenye makazi ya watu. Kumbuka minara ina supply radio wave kwenda kwenye minara ya jirani na simu za mkononi kuwezesha mawasiliano, sasa kama wave za minara zingekuwa hatari basi simu za mkononi zingekuwa hatari zaidi maana ziko karibu na sikio lako kuliko mnara wakeWadau,naomba msaada na ujuzi kidogo katika swala hili,Ni madhara yapi husababishwa na Minara ya simu kuwekwa katikati na karibu kabisa na Makazi ya watu!!!!???? Mnaofahamu msaada wenu ni Muhimu!!
Wakati mwingine tunamsaidiaKazi ya faiza hii
NotedHahahaha
Well receivedNoted
OkWell received
Amen RA