Juzi mmesema tusivae skintight tukawasikiliza,mkasema hata shumizi tusivae kabisa tuvae chuppi tu
LEO TUSIVAE CHUPI KABISA? Hivi zaidi ya suruali ni nguo gani haswa ya kazini unaivaa hvyo hvyo bila chochote ndani?
JAMANI AU MNADHANI WOTE TUNASHNDA NYUMBANI

Hapo pa kwenda job bila chupi ndo pagumu,pengine kote nisha comply,
Nmeshazoea nguo zisizobana na kutovaa miguo mingi ili upepo upite,na Kuna joto karreeee mno saiv Dar
Juzi mmesema tusivae skintight tukawasikiliza,mkasema hata shumizi tusivae kabisa tuvae chuppi tu
LEO TUSIVAE CHUPI KABISA? Hivi zaidi ya suruali ni nguo gani haswa ya kazini unaivaa hvyo hvyo bila chochote ndani?
JAMANI AU MNADHANI WOTE TUNASHNDA NYUMBANI
Chupi ni muhimu kwa mwanamke inamlinda na vitu mbalimbali kuingia ukeni na pia vinavyotoka Uke ulivyoumbwa umekaa wazi kwa hiyo mwanamke anaweza kupata discharge mbalimbali mfano anaweza akatokwa na majimaji Chupi inamsaidia sana mwanamke ila mwanaume usijaribu kabisa kuvaa chupi liache Dushe lijidaidai