Mie itakuwa niko nyuma aisee sababu mbali na yote ambayo huwa yanasemwa kuhusu Pichu sijawahi ichukia aisee.
Maana huwa nawaza mengi ambayo yanaweza nikuta nikiwa sijavaa hiyo kitu. Basi nikishawaza hivyo huwa najivalia tu.
Labda kuwepo sababu maalum ya kunizuwia ila nje ya hapo navaa tu.