Madhara ya kutumia simu ikiwa chaji

Madhara ya kutumia simu ikiwa chaji

Kalobiz

Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Hiv kuna madhara gan kutumia simu ikiwa iko chaji kwa hizi smartphone mfano hii phatom Z
 
ni hatari sio tu ukiwa unachaji hata ikiwa na bar moja then ukawa unaongea ni hatari
kunakuwa na mionzi mikali sana so inaweza kulipuka be careful
 
Hongera sana kwa kununua Phantom Z. Ikiwa charge hakikisha una chupa ya maji ya kilimanjro kribu, ikichemka unaimwagia kidogo.
 
Phatom inafanana na python kwan mbona mnamsifia sana ....kama hajui madhara yakemuache atumie akiyaona ndio atakuja kuwa mwalim wetu mzr
 
ni hatari sio tu ukiwa unachaji hata ikiwa na bar moja then ukawa unaongea ni hatari
kunakuwa na mionzi mikali sana so inaweza kulipuka be careful

"Mionzi mikali sana"..... .. Hapa umetuongopea, japo kuwa physics ulisoma peke yako na kwa gharama zako mwenyewe
 
bado had leo unakomaa na tecno.... tena phantom.... adilika
 
Hapa kama hamtagusa swala la madhala katika kizazi/uzazi hataacha.. haya zinapunguza nguvu za uzazi...:laser:

>>>> Ila joto huwa kubwa na hufanya betri ya simu yako kumaliza chaji mda mfupi, mara kwa mara,
 
Back
Top Bottom