LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,123
- 9,168
Wadau naomba kujuzwa juu ya hili.
Mim nikijana nina mda kama 5yrs cjawahi kufanya mapenzi kbs na sababu kubwa iliyosabisha yote hayo ni ufanyaji wa mazoez ya karet niliyokuwa nayafanya.Mwalim aliyekuwa ana2fundisha alikuwa ana2mia mda mwing sana ku2asa juu ya pombe na ngono mpaka ikafika kpndi nikahama nyumban nakwenda kuish dojo pamoja na wenzangu.Kikubwa nikuchungana.
Mpaka sasa nimetokea kuwachukia kbs wasichana.Hali hii naona inazidi na akiri yangu inazidi kuwa athirika na huwa sifikirii kbs swala la kufanya mapenz ingawa huwa kuna mda mwili huwa una sisimka .Lkn akiri haipo huko kbs.
Je hali hii nikiendelea nayo ni madhara yapi naweza kuyapata??
Naomba msaada wenu wakuu mim ni mzima kbs kila ki2 kinapiga mzigo na kutema madin kama kawa??
Naomba niliwasilishe kwenu wataalam