Madhara ya kutofanya mapenzi

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,123
9,155
Wadau naomba kujuzwa juu ya hili.
Mim nikijana nina mda kama 5yrs cjawahi kufanya mapenzi kbs na sababu kubwa iliyosabisha yote hayo ni ufanyaji wa mazoez ya karet niliyokuwa nayafanya.Mwalim aliyekuwa ana2fundisha alikuwa ana2mia mda mwing sana ku2asa juu ya pombe na ngono mpaka ikafika kpndi nikahama nyumban nakwenda kuish dojo pamoja na wenzangu.Kikubwa nikuchungana.

Mpaka sasa nimetokea kuwachukia kbs wasichana.Hali hii naona inazidi na akiri yangu inazidi kuwa athirika na huwa sifikirii kbs swala la kufanya mapenz ingawa huwa kuna mda mwili huwa una sisimka .Lkn akiri haipo huko kbs.

Je hali hii nikiendelea nayo ni madhara yapi naweza kuyapata??

Naomba msaada wenu wakuu mim ni mzima kbs kila ki2 kinapiga mzigo na kutema madin kama kawa??

Naomba niliwasilishe kwenu wataalam
 
Yaani kwa kutokuwafikiria wasichana unaona unaathirika akili?
 
Hayo madini umetemea wapi? au MANDELA? Hiyo ndiyo mbaya zaidi!!!! usifanye mapanzi kabla ya ndoa. tafuta mmoja unayempenda oa ishi na mke wako!!!! Ila mandela acha kutema madini bila mpango!!!!!!!!
 
hayo madini unayetemaje bila mtu wa kuyachimba? Au mwenzetu unatumia bluetooth kutemesha madini?
 
Karate ndio zinakataza kufanya mapenzi? Mbona bruce Lee alikuwa na mke

hapana cjasema kuwa karet zinakataza kufanya mazoez lkn kama umesoma vzr post yangu utakuwa umenielewa.
Na kama wew ni m2 wa zoez ambaye unafanya kila siku nazan unafaham jins mapenz yanavyo kulet down mazoez.
 
Teh teh teh!
Unanıkumbusha kısa cha Mwl Masala! MwL wangu wa Englısh std vı wakatı huo enzı za 90th alıpewa darasa baada ya kumalıza formıv.
Alıkuwa mwl mzurı sana wa Englısh na Maths akafanıkıwa kumchukua bıntı mmoja(Ester) bası akaendanae huko vıchakanı kumchapa!
Tıcha ıle kuona upaja wa bıntı tu!, alıenda mbılı hewanı fasta! Alıvyoanza kumshambulıa yule bıntı hakuweza kuamka tena ıkabıdı apelekwe hosptal kupıgwa bomba! Huwezı amını bomba6 za sındano zılızojaa speam nyeusı tııı mıthılı ya utando wa jıkonı!
Bıbıe alızıma zaıdı ya masaa6!
Baada ya kubanwa sana tıcha sı ıkabıdı aanıke ukwel hadharanı bwana! Etı sıku hıyo ndo alıkuwa avunja bıkra ya kıume tangu aonekane dunıanı zaıdı ya mıaka24!??
Duu yule bıntı alıjuta kukutana na mıdume tena na sıjuı kama alıolewa!
Mzee ogopa kustore manıı sıku yakıflow nı zaıdı ya bomu la nyukılıa! Utaua mtu sıku ukıkutana na mwanamke!
Cha msıngı fanya hıvı,
Kabla hujalala mfıkrıe msıchana yoyotr ulıekutana nae mchana akakuvutıa, ukıımagıne as ıf umemlala, baası usıku huo lazıma uchafue shuka ndotonı!
 
Ckujua wanaume wanaweza kuacha ku do mda mrefu ivyo! I thnk haina madhara yoyote physicaly ila psychologicaly as mwanamke aliumbwa kwa mwanaume na hawezi kuwa replaced na dojo, lazma smtimes unajickia empty na hata ufanyeje mazoezi ila bdo gap inakuwepo tu. Km uko poa unaweza ukajiolea wa kwako ukamweleza na mashart ya hayo mazoezi yako. I was thnking km uko na athlete body then huna hata wa kukukanda kanda ucku inakuwaje? Meeen hata great kali ako na dem wake...! Jipatie wako, wowa...usifanye ovyo ovyo...ok?
 
mkuu yaani taabu kubwa ni kwamba nawachukia sana wanawake bila sababu yoyote na hii ndiyo inayonichanganya.

Nacjui kama ntaweza kuwa na dem au kuoa nishajitahid sana kufanya majaribio ya kuwa na dem lkn haiishi hata wiki nshazinguana nae.

Ni kweli sometime huwa napata ham ya kuwa na dem lkn kwa mda mchache baadae nakuwa nsha chenj nakumuona kama ananizingua.

Swala kubwa ni hiì hali ya kuwachukia wanawake bila sababu.
 
Ningekuwa na uwezo kama wako ningekuwa tajiri sana sa'ivi..!
Endelea na moyo huo huo, ila kama hauna maendeleo na hii kitu hufanyi basi nakupa pole manake umejikosesha kote kote..
 
Karate ndio zinakataza kufanya mapenzi? Mbona bruce Lee alikuwa na mke

Nadhani hapa walinyimwa kipindi wakiwa kwenye mazoezi mpaka wakimaliza na ile hali ikaendelea hata baada yakumaliza
 
Teh teh teh!
Unanıkumbusha kısa cha Mwl Masala! MwL wangu wa Englısh std vı wakatı huo enzı za 90th alıpewa darasa baada ya kumalıza formıv.
Alıkuwa mwl mzurı sana wa Englısh na Maths akafanıkıwa kumchukua bıntı mmoja(Ester) bası akaendanae huko vıchakanı kumchapa!
Tıcha ıle kuona upaja wa bıntı tu!, alıenda mbılı hewanı fasta! Alıvyoanza kumshambulıa yule bıntı hakuweza kuamka tena ıkabıdı apelekwe hosptal kupıgwa bomba! Huwezı amını bomba6 za sındano zılızojaa speam nyeusı tııı mıthılı ya utando wa jıkonı!
Bıbıe alızıma zaıdı ya masaa6!
Baada ya kubanwa sana tıcha sı ıkabıdı aanıke ukwel hadharanı bwana! Etı sıku hıyo ndo alıkuwa avunja bıkra ya kıume tangu aonekane dunıanı zaıdı ya mıaka24!??
Duu yule bıntı alıjuta kukutana na mıdume tena na sıjuı kama alıolewa!
Mzee ogopa kustore manıı sıku yakıflow nı zaıdı ya bomu la nyukılıa! Utaua mtu sıku ukıkutana na mwanamke!
Cha msıngı fanya hıvı,
Kabla hujalala mfıkrıe msıchana yoyotr ulıekutana nae mchana akakuvutıa, ukıımagıne as ıf umemlala, baası usıku huo lazıma uchafue shuka ndotonı!

Sasa hii yakuchafua itamsaidia nini?
 
Mkuu hapo ungefanya kumwona dr. wa psychologia ungepata matibabu ambayo yangekusaidia ktk hili tatizo ambalo linaonekana lishakuwa sugu kwako
 
ngoja nijaribu kufanya hivyo mkuu.
 
Mkuu nikupe ukweli kuhusu mimi mwenyewe, mimi hadi namaliza university nilikuwa na miaka karibia 30 na tangia utoto wangu nilikuwa sijawahi kufanya mapenzi na nilikuwa nawoga kama wa kwako, ila kupitia ndoto nilikuwa naejakulate(uncontrolled phenomenon), miaka michache baadae nilioa na sasa nainjoy vizuri sana na mke wangu, kwa wanaofikiri haiwezekani inawezekana na huu ni ukweli kunihusu mimi mwenyewe. Hii inasaidia sana mkuu mwili hauchakai kibailogia na wala hutopoteza chochote tofauti nakuepuka mabaya mengi. Endelea hivyo hivyo hadi utakapooa mkuu,. Good luck.
 
ni nyege 2, na ukiamka asbh lazma uoge km n men coz c unajua tena! utapitia mademu wote unaowa-feel via drimz bila wao kujua!
 
mkuu ngoja niongeze tena yrs za kutosha wakati wakati nafanya mchakato wa kuoa.
Thanks sana sana mkuu.

Ujue hali hii huwa inanifurahisha na kuzidi kupata nguvu yakuto fanya mapenzi pindi niwapo dojo nafanya zoezi na washikaji ambao ni cha ngono huwa nastahimili mikiki mikiki na kuwakimbiza mpaka rahaa.Huwa nawa enjoy sana wanapo frot na kutweta.
 
ni nyege 2, na ukiamka asbh lazma uoge km n men coz c unajua tena! utapitia mademu wote unaowa-feel via drimz bila wao kujua!

hahahahaha teh teh teh teh mkuu hapo umenena hakuna ngono nzuri na tamu kama ya kwenye njozi we ni mwendo wa kuwachapa nao tu.
Masista duu masuper staa madem karibia woote wa mtaani nishawagonga.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom