Thomas Paul
Member
- Jan 8, 2018
- 20
- 3
hakuna madhara yoyoyte mzee piga tizi kula vizuri...tulia siku ukimpata mtu na ukaridhia kwa akili yako fanya na maisha yanaenda tusidanganye
kuna dada nilifanya nae kazi, anaishi mbali na mumewe so akikaa mda mrefu anakua kama chizi hivi, hasira kwa mambo ya hovyo na kisirani...Unaweza ukawa zezeta 😛
Jomba umeomba kubiwa madhara ,umeambiwa, unachukulia kma umeshambuliwa.
kuna dada nilifanya nae kazi, anaishi mbali na mumewe so akikaa mda mrefu anakua kama chizi hivi, hasira kwa mambo ya hovyo na kisirani...
Ngojea waje Chaputa wenzako watakujibuhivi punyeto ni kufanya mapenzi
Ma'manzi huota manyoya kifuani(Garden love)Hakuna madhara yoyote
Sio kweliMa'manzi huota manyoya kifuani(Garden love)
Usiwadanganye wenzio, wasifaidi mbona wabongo hamkomi kuwa na roho mbaya?Sio kweli
Mbona povu, kuna mahali nimesema mtu asifanye? Nimejibu swali kama lilivyoulizwaUsiwadanganye wenzio, wasifaidi mbona wabongo hamkomi kuwa na roho mbaya?
KUFA KAMA MUWA NI KUJITAKIA. MAUTAMU KIBAO! HATA MUNGU HAPENDI
Hahahaha nimekusukumia kisanga,,Chalii badala a'reply kwangu kakuletea vanga wewe!hehehe pambana nae tu mamiloo.Mbona povu, kuna mahali nimesema mtu asifanye? Nimejibu swali kama lilivyoulizwa