Mkuu pengine wewe mwenyewe ndio unakisiwa maana sisi tunatuma kama kawaida na hakuna kitu hicho...
Wewe unachekesha wafiwa msibani, hawatuwezi kivipi wakati wameshatuweza? Nchi za ulaya zime tu block na Mimi mwenyewe ni victim wa Hali Iyo wewe bado unasema hawatuwezi? Wacha kuwa Kama ally chemical wa Iraq ya sadam tumia kaelimu kako Ka primary.....Hawana ujanja wala uwezo wa kutuwekea vikwazo. Tanzania hatufungamani na siasa za upende wowote, hatuko tayari na hatutakuwa tayari kuchaguliwa marafiki/maadui na mataifa mengine.
Jaribu, mimi nimetuma juzi tu jumamosi..Mkuu nitafanya utafiti tena naenda katika benki nyingine then nitakuja na jibu na nitawauliza sababu kwa nini hatuwezi tuna pesa.....siyo kwamba nasikiwa kwa kuwa yeye alicheki tu nchi ninayotuma ni Tanzania basi akasema siwezi tuma pesa Tanzania....sasa nitaenda different bank then nitaleta majibu hapa jukwaani maana mimi mwenyewe imenikera kwa kuwa nina shida sana ya kutuma pesa bongo naenda then wananiambia hivyo
Kama mnakumbuka tulisajili meli za wairan....nimeona kitu kinatokea kuna baaadhi ya nchi sasa hauwezi kutuma pesa Tanzania..hii kitu imenitokea mimi hapa kama wiki moja iliyopita huku Ughaibu nilikwenda kutuma pesa bongo wakaniambia siwezi tuna pesa tanzania kwa kuwa wametu-block pamoja na wairan....ilibidi nishangae kwa kuwa nimeshatuma mara nyingi tu kwa kutumia benki hiyo hiyo kama miezi michache iliyopita. sasa hii kitu imenishangaza sana na nilipojaribu fikiria kidogo nikakumbuka hii issue ya kusajili meli za wairan inawezekana sasa wakubwa wameshaanza kuweka vikwazo
Mkuu uko sawa kabisa Hata Mimi limenitokea ila sikudhani ni sababu ya wa iran ikabidi nitumie western union na hili tatizo limenikuta Mimi scandnavian na Nina amini itasambaa Europe na America. Mungu ibariki Tanzania
Kama mnakumbuka tulisajili meli za wairan....nimeona kitu kinatokea kuna baaadhi ya nchi sasa hauwezi kutuma pesa Tanzania..hii kitu imenitokea mimi hapa kama wiki moja iliyopita huku Ughaibu nilikwenda kutuma pesa bongo wakaniambia siwezi tuna pesa tanzania kwa kuwa wametu-block pamoja na wairan....ilibidi nishangae kwa kuwa nimeshatuma mara nyingi tu kwa kutumia benki hiyo hiyo kama miezi michache iliyopita. sasa hii kitu imenishangaza sana na nilipojaribu fikiria kidogo nikakumbuka hii issue ya kusajili meli za wairan inawezekana sasa wakubwa wameshaanza kuweka vikwazo
Mkuu nitafanya utafiti tena naenda katika benki nyingine then nitakuja na jibu na nitawauliza sababu kwa nini hatuwezi tuna pesa.....siyo kwamba nasikiwa kwa kuwa yeye alicheki tu nchi ninayotuma ni Tanzania basi akasema siwezi tuma pesa Tanzania....sasa nitaenda different bank then nitaleta majibu hapa jukwaani maana mimi mwenyewe imenikera kwa kuwa nina shida sana ya kutuma pesa bongo naenda then wananiambia hivyo
Mkuu pengine wewe mwenyewe ndio unakisiwa maana sisi tunatuma kama kawaida na hakuna kitu hicho...
acha pumbea nauzandiki..habari za fita tuuu,unavielelezo......
Umeanza na Ubishi wako...Nazungumza kitu ambacho ndio maisha yangu ya kila siku wewe msomaji tu. FBI wakitoa amri ya kukataza fedha kutumwa nchi yoyote wanakataza moja kwa moja na mashirika yote yanayotuma fedha nje hukatazwa kufanya hivyo acha Bank pekee..Sasa mimi nakwambia hakuna sheria hiyo isipokuwa kuna watu hukisiwa na wamezuiwa kutuma fedha nje pengine kwa kukisiwa mahusiano na Alqaeda. FBI wanaweza tu kumwachia mtu afanye ili wamshike ikiwa anafanya biashara haramu iwe Unga au money laundry ili wapate ushahidi wanaoutaka na sio swala la vikwazo.kama ni yeye angekuwa wa kushikwa na si wa kuhisiwa na kufungiwa huduma.FBI hawafanyi ujinga wa kuzuia fraudstar kufanya kitu ila wanamwacha afanye ili ushahdidi upatikane, na mabank hayawezi kunyima huduma bila kufuata sheria kwani wanaweza shitakiwa na kukamuliwa hela kwa ubaguzi na mengine membi ambayo colored people wnaya abuse.
Ulivyo dhaifu kama rais wako hata ukipewa vielelezo huna uwezo wa kufanya lo lote. Bado account zenu za nchi zitafungiwa ndipo mtajua huko duniani neno dhaifu halipo kwenye kamusi za tawala makini.
Umeanza na Ubishi wako...Nazungumza kitu ambacho ndio maisha yangu ya kila siku wewe msomaji tu. FBI wakitoa amri ya kukataza fedha kutumwa nchi yoyote wanakataza moja kwa moja na mashirika yote yanayotuma fedha nje hukatazwa kufanya hivyo acha Bank pekee..Sasa mimi nakwambia hakuna sheria hiyo isipokuwa kuna watu hukisiwa na wamezuiwa kutuma fedha nje pengine kwa kukisiwa mahusiano na Alqaeda. FBI wanaweza tu kumwachia mtu afanye ili wamshike ikiwa anafanya biashara haramu iwe Unga au money laundry ili wapate ushahidi wanaoutaka na sio swala la vikwazo.
Hawamshiki mtu inapokatazwa kutuma fedha ktk nchi au jumuiya ilowekewa vikwazo. Unaweza kutuhumiwa kuwa unatuma fedha za kuisaidia Alqaeda na hivyo imekatazwa na kwa baadhi ya watu wanaokisiwa hukataliwa tu hashikwi mtu..Wengine majina yao tu yanawaponza na nakuambia hivi kwa sababu inafanyika hadi kesho.. Sisemi kwa kusoma au kufikiria ila ndivyo inavvyofanyika hapa. Wewe hauishi huku bado unabisha tu ili mradi kubisha. Bora wafundishe FBI kazi yao basi..hujui usemalo.wewe rudi kasome ulichoandika kabla.Unajihami tuu kizembe.KAMA YEYE NDIYE TARGET BASI ALIPASWA SHIKWA KWA KOSA LA MONEY LAUNDERING,NA ZOEZI LA KUTUMA HELA LINGEPASWA KUWA SEHEMU YA USHAHIDI.KWA VILE SI YEYE NDIO MAANA BANK HAIKUONA SABABU YA KUSAIDIA USALAMA BADALA YAKE WAKAMWAMBIA HUDUMA HAIPO NA SABABU WAKAMPA.Hembu amka ndugu yangu.
Unaropoka tu!Hawana ujanja wala uwezo wa kutuwekea vikwazo. Tanzania hatufungamani na siasa za upende wowote, hatuko tayari na hatutakuwa tayari kuchaguliwa marafiki/maadui na mataifa mengine.
Mkuu hii kitu inasambaa Nami pia limenitokea jana tu niikwenda kutuma pesa wamesemaa siwezi tuma Tanzania(blocked)...hivi nitaenda kujisalimisha Western Union hopeful huko tunatuma kama kawaida...mimi nipo nchi za Asia
Diaspora ya Ghana inashikilia nafasi ya tatu kwa uchumi wa nchi hiyo; ya Nigeria ni ya nne kwa kuchangia uchumi wa nchi hiyo, vivyo hivyo kwa Uganda. Hapa kwetu badala ya kuweka mazingira mazuri kwa walio nje ya nchi kuchangia uchumi wa nchi yetu kama ilivyo kwa nchi za wenzetu, kwa ujuha wetu tunaziba hata kile kidogo kilichokuwa kinapatikana! Tumekwisha.