Habar wana jamii naomba kujua madhara ya kula Katanga na asali napenda kuwatakia ijumaa njema
Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo wanao athirika ni wazungu tuu?maana mie naona "tuboro yang" twa kizungu tu hapa,ebu weka "miboro yang" ya kinyamwezi kwanza....
NmekusomaMi mwenywe cjui kuna jamaa nilimquote aliyeweka pic atueleweshe but kazingua!!sema mkuu kashajibu kupitia hyo pic kuwa ndo madhara yke!!angalia hyo pic vzr!
Hii mbona kama primary syphilis, una uhakika hizi ni moja ya side effects za karanga na asali?
Utakuwa na nguvu za Kike Mda si mrefu utaanza kutamani kukamuliwaJaman nisaidien mm nikipiz manii mengi yanabaki kwenye due hadi nikamue na mkono yan hayatok yte kwa ile presha ya kupiz
Sent from my GT-I9205 using JamiiForums mobile app
Kwisha Habari yako mjomba. Kapime gonnorhea na kaswende. Uende na wapenzi wako wote mpate matibabuJaman nisaidien mm nikipiz manii mengi yanabaki kwenye due hadi nikamue na mkono yan hayatok yte kwa ile presha ya kupiz
Sent from my GT-I9205 using JamiiForums mobile app
Ufafanuzi zaidi, lugha ngumu hiyo mkuutena kabisa mkuu hujakosea
View attachment 542289
Labda maandalizi uliyotumia lakini me haipiti week bila kula huo mchanganyiko, naweka karanga mbichi kwenye kibakuri na asali kiasi sio asali izizidi karanga ni kile kiasi kufanya karanga zote ziwe na asali tu!!.Mimi nilikula karanga na asali ilikuwa nife Alisha sana tapika kidogo nife
Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
Wanaathirika na nini? nikumbushe maana sikumbuki. Na hii picha inahusu nini maana nayo wala sikumbuki niliwekaje hapa kwenye hii mada.Kwahiyo wanao athirika ni wazungu tuu?maana mie naona "tuboro yang" twa kizungu tu hapa,ebu weka "miboro yang" ya kinyamwezi kwanza....
HApana,Hii mbona kama primary syphilis, una uhakika hizi ni moja ya side effects za karanga na asali?