madhara ya kujichua

asa

New Member
Jan 17, 2012
4
0
please naitaji kujua madhara ya kujichua pia naitaji kuelwanjia za kuacha kujichua kwani ni nimekua very addicted na hii tabia please need a help pia naitaji kuonana na docta wa magonjwa ya kisaikolojia or kiume please .
email me to asabing1@hotmail.com
 
madhara ya kujichua ni makubwa yanasababibisha mishipa ya kwenye penis kusinyaa siku utakayaopata demu ndugu yangu kwa vile umeizoesha kwa mkono mashine yako haitasimama kabisa pull inapigwa lakini sio kama chai na unatakiwa uwe na demu sio unapiga pull huna demu na ili kuacha inabid uwe na mwanamke la sivyo hata nguvu zikirud hautakuwa na uwezo wa kupiga bao mbili itakuchukua zaidi ya saa 1 au 2 mashine kusimama baada ya bao la kwanza.....nakushauri ndugu uache kabisa tafuta demu ukishindwa malaya wapo kibaooo wa kununua
 
Kwa hilo sikuungi mkono! Malaya tena jamani? Mwogopeni Mungu, naamini hakuna dini inayokubaliana na tabia ya kujamiiana na malaya.
 
madhara ya kujichua ni makubwa yanasababibisha mishipa ya kwenye penis kusinyaa siku utakayaopata demu ndugu yangu kwa vile umeizoesha kwa mkono mashine yako haitasimama kabisa pull inapigwa lakini sio kama chai na unatakiwa uwe na demu sio unapiga pull huna demu na ili kuacha inabid uwe na mwanamke la sivyo hata nguvu zikirud hautakuwa na uwezo wa kupiga bao mbili itakuchukua zaidi ya saa 1 au 2 mashine kusimama baada ya bao la kwanza.....nakushauri ndugu uache kabisa tafuta demu ukishindwa malaya wapo kibaooo wa kununua
Kujichua kwa mujibu wa wataalam wa afya ya akili hakuna madhara yoyote endapo tu kunafanywa in private na mfanyaji haachi kazi zake na kwenda kujichua.
kujichua ni bora zaidi kuliko kuwa dungadunga au mpiga chabo au kuwa pedophilia au hata kuchukua malaya kwani unakuwa na uhakika wa kutopambana na mikono ya sheria.
Hayo ya kusema eti mishipa itachakaa na utashindwa kufanya kazi ukipata demu hiyo ni porojo za mtaani!!
 
jaman thank kwa advice mliyonipa but kimsingi kuna wajinga humu wananitumia email za ushenz nashangaa mtu ananitumia message ya kijinga please i am here just to solve my problem that faced me so please sitaki na sihitaji kutumiwa email ambazo hazina msaada kwangu pia im not ready 4 this stuff please
 
pole...ila jibu sahihi ni kujikipu bize na shughuli zako za kila siku....na uwe unasoma sana biblia na kusali jumapili utayashinda hayo majaribu ya kishetani.....
 
  • Thanks
Reactions: asa
Madhara Makubwa ni kuadhirika kisaikolojia, ukiendelea na kujichua itakupelekea kutoona umuhimu wa Mwanamke katika maisha yako na hata kuwachukia kabisa, pia Mishipa ya Uume wako kulegea kama unapofanya uchuaji visivyo na kusababisha uume kuto erect inavyostahili.
Njia ya kuacha hii tabia, jaribu kujishughulisha na shughuli mbalimbali na epuka kuwa mpweke, pia jichanganye na wezio katika michezo na mwisho Mshirikishe Mungu kwani ndiye muweza ya yote.
Pole sana Ndugu.
 
  • Thanks
Reactions: asa

Similar Discussions

Back
Top Bottom