J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 693 Reaction score 1,164 Jun 11, 2021 #1 Kulegea kwa misuli ya kibofu na kusababisha kushindwa kuzuia mkojo Hupelekea kushindwa kutoa mkojo wote Husababisha UTI, kutokana na bakteria wanaojitengeneza kwenye mkojo Husababisha maumivu makali chini ya Tumbo Ukibana mkojo kuanzia masaa 10 na zaidi inaweza kupelekea mishipa ya kibofu kulegea na hata kibofu cha mkojo kupasuka
Kulegea kwa misuli ya kibofu na kusababisha kushindwa kuzuia mkojo Hupelekea kushindwa kutoa mkojo wote Husababisha UTI, kutokana na bakteria wanaojitengeneza kwenye mkojo Husababisha maumivu makali chini ya Tumbo Ukibana mkojo kuanzia masaa 10 na zaidi inaweza kupelekea mishipa ya kibofu kulegea na hata kibofu cha mkojo kupasuka
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,759 Jun 11, 2021 #2 Hujazungumzia madhara yake katika figo.Leo umeniangusha sana!