Madhara ya dawa ya usingizi inayotumika theatre

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
264
378
Habarini wadau

Naomba kufahamishwa madhara ya dawa ya usingizi inayotumika theatre kwa mgonjwa ambae amepewa ile dawa ,je nini kinatokea au akitarajie mara baada ya kupewa na kutokewa theatre?
 
Kichwa kuuma sana hvyo ni vyema akitoka msimuongeleshe sana apate muda wa kupumzika

Kuna wengine hupata kichefuchefu na hutapika kbs

Kizunguzungu baada ya cku kadhaaa

Kuna hali flan km ya kikoozi Bc unajikuta unakohoa (kubanja)na maumivu ya mshono Weee acha tu

Mgongo kuuma km utapewa ile ya nusu acha kbs mgongo unapasua km mbao

Cha kufanya ukitoka theater pumzika vya kutosha lala kbs usiongee na mtu kwa takribani saa 24 ukiamka apo walau kdg unaweza anza kuongea.otherwise itakuletea maumivu mno y kichwa
 
Thanx,Kuna mtu wangu alipelekwa theatre kama wiki 2 zilizopita lakini analalamika hajielewi elewi yani kama mtu ambae amelewa hivi je itakua ni sababu ya hii dawa au ?
 
Me nimepigwa hii dose mara mbili lakini hakuna hata kimoja kati ya hivyo ulivyotaja kilinipata. Nadhani inategemea mtu na mtu, me nilivyozinduka tu nikajisikia fresh kabisa.
 
Kichwa kuuma sana hvyo ni vyema akitoka msimuongeleshe sana apate muda wa kupumzika

Kuna wengine hupata kichefuchefu na hutapika kbs

Kizunguzungu baada ya cku kadhaaa

Kuna hali flan km ya kikoozi Bc unajikuta unakohoa (kubanja)na maumivu ya mshono Weee acha tu

Mgongo kuuma km utapewa ile ya nusu acha kbs mgongo unapasua km mbao

Cha kufanya ukitoka theater pumzika vya kutosha lala kbs usiongee na mtu kwa takribani saa 24 ukiamka apo walau kdg unaweza anza kuongea.otherwise itakuletea maumivu mno y kichwa
Nakumbuka kile kifua, maumivu ya mshono na mgongo.....acha kabisa.
Nusu kaputi mbaya....heri full
 
Aise mi iliniumiza kichwa mnoo yani sana hakielezeki,, ikapokea shingo na mgongo ilibid nirudshwe hospital. Hii inatakiwa ulale sana hata simu usishike
 
Kwanza kuna various types of sedative drugs ambazo Pia zinakuwa na different action na Pia different receptors kwamfano kama morphine(heroine) inasababisha withdraw syndrome ( alosto) kuna diazepam wengine huita Valium Pia kuna pethidine hii kama mkeo akichomwa wakat wa operating procedures anaweza kujikuta analopoka tu hovyo
 
Kichwa kuuma sana hvyo ni vyema akitoka msimuongeleshe sana apate muda wa kupumzika

Kuna wengine hupata kichefuchefu na hutapika kbs

Kizunguzungu baada ya cku kadhaaa

Kuna hali flan km ya kikoozi Bc unajikuta unakohoa (kubanja)na maumivu ya mshono Weee acha tu

Mgongo kuuma km utapewa ile ya nusu acha kbs mgongo unapasua km mbao

Cha kufanya ukitoka theater pumzika vya kutosha lala kbs usiongee na mtu kwa takribani saa 24 ukiamka apo walau kdg unaweza anza kuongea.otherwise itakuletea maumivu mno y kichwa
Kuna weaning process kama uko hospitali mkuu.
 
Back
Top Bottom