Kuna jamaa yng jana aliweka elfu 30 alimuwekea unbeaten, baada ya mechi kuisha nusu adondoshe chozi.Kutokana na ulichokiandika ni wazi kuwa huna kabisa uelewa kuhusu betting au una uelewa kidogo kuhusu betting
Yanga kafungwa kama wengine tu ambavyo huwa wanafungwa na hakuna marefu yasiyo na mwisho ata kama sio jana lakini kuna siku Yanga angefungwa tu
Hakuna Mjinga pale Yanga ambae angeweza kukubali kuuza game na kufungwa katika mechi yao ya 50 ambayo walikuwa wanaisubiria Kwa hamu sana ili kuongeza record yao ya Unbeaten
Yanga yupo sponsored na sportpessa tu ila Tanzania kuna kampuni za betting kibao ambazo pia huweka mechi za Yanga katika sites zao na watu hubashiri huko
Kwahiyo kama kuliwa asingeliwa sportpessa Peke yake bali wangeliwa pia kampuni zingine ambazo hazina ushirika wowote na Yanga, kwahiyo hayo yanabakia kuwa sehemu ya matokeo ya mpira
Na labda nikutoe hofu tu, wanaobetia ligi ya NBC ni wachache sana tena sana, kwahiyo Kwa wahindi kufungwa Kwa Yanga ni kama wameshinda tu na vice versa is true
[emoji16][emoji16][emoji16] ndo mpira ulivo ye atulie atafute hela ingine ampe game inayokujaKuna jamaa yng jana aliweka elfu 30 alimuwekea unbeaten, baada ya mechi kuisha nusu adondoshe chozi.
Naijua kiasi. Lakini ujue walioko studio wanaona kabisa mwenendo wa betting zote. Wanaziona wakati wote na wanajua athari ya mmoja akishinda siku hiyo. Kupanga matokeo kinakotokana na btting kupo. Sema ni ngumu kupata ushahidi kwenye organized crime.Kutokana na ulichokiandika ni wazi kuwa huna kabisa uelewa kuhusu betting au una uelewa kidogo kuhusu betting
Yanga kafungwa kama wengine tu ambavyo huwa wanafungwa na hakuna marefu yasiyo na mwisho ata kama sio jana lakini kuna siku Yanga angefungwa tu
Hakuna Mjinga pale Yanga ambae angeweza kukubali kuuza game na kufungwa katika mechi yao ya 50 ambayo walikuwa wanaisubiria Kwa hamu sana ili kuongeza record yao ya Unbeaten
Yanga yupo sponsored na sportpessa tu ila Tanzania kuna kampuni za betting kibao ambazo pia huweka mechi za Yanga katika sites zao na watu hubashiri huko
Kwahiyo kama kuliwa asingeliwa sportpessa Peke yake bali wangeliwa pia kampuni zingine ambazo hazina ushirika wowote na Yanga, kwahiyo hayo yanabakia kuwa sehemu ya matokeo ya mpira
Na labda nikutoe hofu tu, wanaobetia ligi ya NBC ni wachache sana tena sana, kwahiyo Kwa wahindi kufungwa Kwa Yanga ni kama wameshinda tu na vice versa is true
Unaweza kupanga matokeo ya mechi ila ni ngumu sana kupanga matokeo ya betting, we unadhani ni wangapi wanaibetia Yanga au ligi ya Tanzania?Naijua kiasi. Lakini ujue walioko studio wanaona kabisa mwenendo wa betting zote. Wanaziona wakati wote na wanajua athari ya mmoja akishinda siku hiyo. Kupanga matokeo kinakotokana na btting kupo. Sema ni ngumu kupata ushahidi kwenye organized crime.
Sent from my TECNO KG5k using JamiiForums mobile app
Hii over mkuu huwa Ina maanisha Nini!?I mean magoli mangapi!?Huna uelewa wa betting Mkuu, betting ina options nyingi sana, mechi Moja yaweza kuwa na options zaidi ya 20,kama wewe ulimpa yanga ashinde mazima basi umeliwa, ila kuna watu walimpa over ya 0.5,1.5 au 2.5,Hawa wote walikula,
Over 1.5 inamaanisha magori yaanzie 2 na kuendelea hata Kama yatafika 1000Hii over mkuu huwa Ina maanisha Nini!?I mean magoli mangapi!?