mtu watu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2017 Posts 2,123 Reaction score 1,617 Nov 8, 2018 #3 Ndumbula Ndema said: View attachment 926866 Click to expand... Una ushahidi gani kuwa kuwa hivyo ni madhara ya bangi mbichi?
Ndumbula Ndema said: View attachment 926866 Click to expand... Una ushahidi gani kuwa kuwa hivyo ni madhara ya bangi mbichi?
Paz3i JF-Expert Member Joined Oct 11, 2014 Posts 1,034 Reaction score 1,521 Nov 8, 2018 #4 wanaume wa dar walipo jaribu kutumia kitu ya ARUSHA
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,209 Reaction score 40,650 Nov 8, 2018 Thread starter #5 mtu watu said: Una ushahidi gani kuwa kuwa hivyo ni madhara ya bangi mbichi? Click to expand... Unadhani wenye akili timamu wanaweza fanya ivyo??
mtu watu said: Una ushahidi gani kuwa kuwa hivyo ni madhara ya bangi mbichi? Click to expand... Unadhani wenye akili timamu wanaweza fanya ivyo??
mtu watu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2017 Posts 2,123 Reaction score 1,617 Nov 8, 2018 #6 Ndumbula Ndema said: Unadhani wenye akili timamu wanaweza fanya ivyo?? Click to expand... Ambao hawana akili timamu ndiyo wavuta bangi mbichi?
Ndumbula Ndema said: Unadhani wenye akili timamu wanaweza fanya ivyo?? Click to expand... Ambao hawana akili timamu ndiyo wavuta bangi mbichi?
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,209 Reaction score 40,650 Nov 8, 2018 Thread starter #7 mtu watu said: Ambao hawana akili timamu ndiyo wavuta bangi mbichi? Click to expand... Google utapata majibu
mtu watu said: Ambao hawana akili timamu ndiyo wavuta bangi mbichi? Click to expand... Google utapata majibu
Hammaz JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 7,033 Reaction score 15,327 Nov 8, 2018 #8 Aahh! Wapi wewe, kitu bhangi mixer kinyesi kikavu cha Ng'ombe TrickStar said: wanaume wa dar walipo jaribu kutumia kitu ya ARUSHA Click to expand...
Aahh! Wapi wewe, kitu bhangi mixer kinyesi kikavu cha Ng'ombe TrickStar said: wanaume wa dar walipo jaribu kutumia kitu ya ARUSHA Click to expand...
Diason David JF-Expert Member Joined Aug 2, 2018 Posts 7,557 Reaction score 7,381 Nov 8, 2018 #10 Na ndio akili ya mcc
ANDREW JOSEPH JF-Expert Member Joined Jul 17, 2017 Posts 422 Reaction score 405 Nov 9, 2018 #11 Kwakweri mimi angelipa nauli Sent from my 4013D using JamiiForums mobile app
ikhatibu JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 2,491 Reaction score 2,477 Nov 9, 2018 #12 Kwani huko bado viroba vinauzwa?
hugo jr JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 502 Reaction score 1,646 Nov 9, 2018 #13 hiyo itakua ni gongo ya kwa mama mushi
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,192 Nov 9, 2018 #14 ππππππππππππ
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,371 Reaction score 14,481 Nov 9, 2018 #15 Hao wamekunywa Mchuzi wa bhangi.
bushland JF-Expert Member Joined Mar 6, 2015 Posts 7,015 Reaction score 4,997 Nov 14, 2018 #16 NAHUJA said: ππππππππππππ Click to expand... Penda cheka wewe
Gonzalo Miguel JF-Expert Member Joined Sep 1, 2018 Posts 850 Reaction score 661 Nov 14, 2018 #17 Baada ya kupata Bange ya kuhokwa!!ππππ