Amarula ni kilevi,hata mbege ina kilevi hakuna chenye unafuu hapo,maji na juice kwa mjamzito nadhani ni vinywaji tosha na juice ikiwa fresh ni nzuri zaidi,mbege unywe ukishajifungua ili kusaidia maziwa kutoka kwa wingi na sio sasa!
Jaman jitahid sana kula vitu natural kunywa juic ya kutengeneza mwenyew kunywa mtind,kula ndizi mbivu na mboga za majan pia,, hyo itakusaidia kwa ajil ya afya yko na ya mtt na vile vile utakuwa na nguvu fanya na mazoez pia
The minute I realized I was pregnant I stopped drinking and smoking.
Achana na hizo moderate this and that.You wont be pregnant forever so just stay sober for your good and your baby's well being.
wacha kabisa, ile mbege ni tamu aisee, huko jikoni ndio balaa yenyewe, Ngongo wapi hiyo sijakusikia ukizungumzia hiki kijiwe au wewe sio mlaji wa ile kitu?
Kuna madhara mengi sana unaweza kupata kama kiumbe kilichopo tumboni kitakutana na alcohol ama kama unavyoita mwenyewe vinywaji vya kuchangamka. Cerebral palse(cp) is most common for that case ambayo itapelekea mtoto kuwa na delayed milestone(udumavu). Hivyo nakushauri kipindi hiki cha ujauxito kuwa makini sana usije muathir mtoto