lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Aliyekwambia wanajeshi wa leseni ya udereva nani? Wewe ndo unataka kuleta balaa kubwa. Hao matraffic watapata wapi hela ikiwa madereva wote wa mabasi wskiendesha wanajeshi? Traffic wote watakonda......
Mi nadhani sio madereva tu wanaotakiwa kurudi kusoma,nadhani wapo wakuu kibao wa nyanja mbal mbal serekalini namna wanavyoendesha mambo ndan ya taifa hil wanahitajika pia kurud kusoma.
Unafahamu madai ya madereva au unaropoka tu? Wanayo madai ya msingi kabisa, sema serikali ya kipuuzi haioni hilo
Ushauri wa mwisho kwa amir jesh
mkuu,
amrisha madereva wa JWTZ kuendesha mabasi yoote ya abiria. na hasa ya mikoani bila kujali basi ni LA abood au mchina
hao wenye leseni zao tuachane nao.
hii ni hali ya Hatari .