dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,936
- 8,359
[emoji23]hadi aone baadhi ya vituKwani wewe ukiona mwanamke mzuri haisimami?
What is the best thing to do when you have a hole in a boat and water is leaking inside....Wakikuona upo kwenye zebra unataka kuvuka hawasimami mpaka uwe umesimama na mwanamke mzurii!
Shenzy type.
Uzi tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kumuona, lakini niliwahi kumuona Ayubu alikuwa ana zaidi ya nguvu kwa Mkewe.
Nimefanya research nimeona akiwa anataka kuvuka mwanamke mrembo wanasimamisha gari na wanamchekea kabisa. Kidume utapigwa jua hapo mpaka ukome
Vyovyote.Kumbuka madereva wapo jinsia zote, wengine hawasimami wanachutama
Ok sawa.What is the best thing to do when you have a hole in a boat and water is leaking inside....
Make another hole to drain the water...[emoji12] [emoji12]