Mkuu ukiajiriwa kama dereva fanya kazi kama dereva wa jumla hakuna wa ajira ya kumhudima kiongozi itategemeana tabia,sifa na mtazamo wa boss otherwise watu watakushauri hata uwende kwa waganga!
Ushauri kama mtu wa kujishughulisha na mambo binafsi ya kukuingizia kipato nakushauri bora uwe dereva wa pool au kuwaendesha wafanyakaz otherwise ukubari kufanya kazi 24hrs kwa watu uliowataja